MT4
MT5

Mfumo wa Meta Trader 4 ya Wavuti

Mfumo wa Meta Trader 4 ya Wavuti unakuwezesha kufanya biashara ya ubadilishanaji sarafu, hisa, na mikataba ya biashara ya baadaye kwa kutumia kivinjari na mfumo wowote wa uendeshaji, bila kuhitajika kuweka programu za ziada.

Una ufikiaji wa utendaji sawa na toleo la kompyuta ya mezani la MetaTrader 4, unaokuwezesha kufanya biashara kama mtaalamu ukitumia muunganisho wa intaneti pekee. Kuongezea, data inayohamishwa husimbwa kwa njia fiche kwa usalama, ikihakikisha usalama wa toleo la kivinjari, hata unapotumia kompyuta ya mtu mwingine.

Fungua MT4 ya Wavuti

Vipengele vya Kufanya Biashara kwenye Meta Trader5 ya Simu ya Mkononi

  • Fanya biashara ya ubadilishaji sarafu, hisa, na mikataba ya biashara ya baadaye kwenye vifaa vya iOS na Android
  • Endelea kufahamishwa kupitia taarifa za wakati halisi na taarifa za kifedha
  • Inasaidia kufanya biashara ya kuagiza na kununua na kuuza zana sawa kwa wakati kwa mikakati mbalimbali
  • Taarifa za kina za soko kwa maamuzi sahihi
  • Tekeleza maagizo ya biashara moja kwa moja kutoka kwenye kifaa chako cha mkononi
  • Viashirio vilivyojumuishwa na zana za uchambuzi
  • Dhibiti akaunti yako na ufuatilie historia ya kufanya biashara kwa urahisi
  • Shughuli za kununua na kuuza kwa mguso mmoja
  • Arifa zinazoweza kuwekewa mapendeleo na arifa za programu
Pakua Meta Trader 5 ya Simu ya Mkononi:

Mfumo wa Meta Trader 5 ya Wavuti

Fanya biashara ya ubadilishanaji sarafu, hisa, na mikataba ya biashara ya baadaye kutoka kwenye kivinjari chochote kwenye mfumo wowote wa uendeshaji ukitumia MetaTrader 5 ya Wavuti. Huhitaji kuweka programu — fikia utendaji kamili wa toleo la MetaTrader 5 ya kompyuta ya mezani ukitumia muunganisho wa intaneti pekee.

Mfumo huu wa wavuti unatumia MacOS, Linux, na Windows, na ni salama kwa uhamishaji wa data uliosimbwa kwa njia fiche. Fanya biashara kwa urahisi kwenye Google Chrome, Safari, Edge, Opera au Firefox kwenye kifaa chochote, popote ulipo.

Vipengele

Kuunda Thamani kwa Ahadi

Valetax inaendesha biashara katika maeneo 15 na ina zaidi ya wateja elfu 300. Udhibiti katika mamlaka mawili na ushirikiano na watoa huduma za kulipa walio na leseni kunaboresha utendaji wa mteja.

Kubwa

Tuna wateja zaidi ya 300,000 ulimwenguni

Inaaminika

Kwa kutii kanuni na viwango mahususi vya sekta

Imethibitishwa

Kwa mbinu salama na zinazoaminika za kulipa

Uko tayari kuanza?

Weka mipangilio ya akaunti yako kwa hatua 3 rahisi

1

Jisajili

Fungua aina ya akaunti unayopenelea ya kufanya biashara

2

Weka Pesa

Weka pesa kwenye akaunti yako ukitumia chaguo zinazopatikana zenye leseni

3

Fanya Biashara na Uchume Pesa

Fanya biashara kwa umahiri na upate faida kubwa leo!

Anza Kufanya Biashara