Mfumo wa Meta Trader 4 ya Wavuti
Mfumo wa Meta Trader 4 ya Wavuti unakuwezesha kufanya biashara ya ubadilishanaji sarafu, hisa, na mikataba ya biashara ya baadaye kwa kutumia kivinjari na mfumo wowote wa uendeshaji, bila kuhitajika kuweka programu za ziada.
Una ufikiaji wa utendaji sawa na toleo la kompyuta ya mezani la MetaTrader 4, unaokuwezesha kufanya biashara kama mtaalamu ukitumia muunganisho wa intaneti pekee. Kuongezea, data inayohamishwa husimbwa kwa njia fiche kwa usalama, ikihakikisha usalama wa toleo la kivinjari, hata unapotumia kompyuta ya mtu mwingine.

Chagua akaunti
Aina za akaunti kwa kila lengo
Tumeunda akaunti zetu ili zilingane na malengo na mikakati yako ya biashara, na kukupa suluhu za kuboresha hali yako ya kufanya biashara
Akaunti ya Cent
Anza kufanya biashara kuanzia 8 USD
Tofauti ya bei ya ununuzi na uuzaji: kuanzia pip 1.2
Chagua akauntiAkaunti ya Standard
Fanya biashara kwenye aina maarufu zaidi ya akaunti
Tofauti ya bei ya ununuzi na uuzaji: kuanzia pip 1.2
Chagua akauntiAkaunti ya ECN
Furahia uwezo wa ufikiaji wa moja kwa moja wa soko kwa bishara zako
Tofauti ya bei ya ununuzi na uuzaji: kuanzia pip 0.0
Chagua akauntiAkaunti ya Booster
Pata Marejesho ya Mapunguzo ya Juu Zaidi, mtandao na wafanyabiashara wako
Tofauti ya bei ya ununuzi na uuzaji: kuanzia pip 2.0
Chagua akauntiAkaunti ya Bonus
Boresha salio lako halisi kwa bonasi zinazopatikana
Tofauti ya bei ya ununuzi na uuzaji: kuanzia pip 2.0
Chagua akauntiAkaunti ya PRO
Tofauti ndogo kabisa ya bei ya ununuzi na uuzaji na bila makato ya asimilia ya faida, zinazowafaa wafanyabiashara wenye ujuzi
Tofauti ya bei ya ununuzi na uuzaji: kuanzia pip 0.6
Chagua akauntiVipengele vya Kufanya Biashara kwenye Meta Trader5 ya Simu ya Mkononi
- Fanya biashara ya ubadilishaji sarafu, hisa, na mikataba ya biashara ya baadaye kwenye vifaa vya iOS na Android
- Endelea kufahamishwa kupitia taarifa za wakati halisi na taarifa za kifedha
- Inasaidia kufanya biashara ya kuagiza na kununua na kuuza zana sawa kwa wakati kwa mikakati mbalimbali
- Taarifa za kina za soko kwa maamuzi sahihi
- Tekeleza maagizo ya biashara moja kwa moja kutoka kwenye kifaa chako cha mkononi
- Viashirio vilivyojumuishwa na zana za uchambuzi
- Dhibiti akaunti yako na ufuatilie historia ya kufanya biashara kwa urahisi
- Shughuli za kununua na kuuza kwa mguso mmoja
- Arifa zinazoweza kuwekewa mapendeleo na arifa za programu

Mfumo wa Meta Trader 5 ya Wavuti
Fanya biashara ya ubadilishanaji sarafu, hisa, na mikataba ya biashara ya baadaye kutoka kwenye kivinjari chochote kwenye mfumo wowote wa uendeshaji ukitumia MetaTrader 5 ya Wavuti. Huhitaji kuweka programu — fikia utendaji kamili wa toleo la MetaTrader 5 ya kompyuta ya mezani ukitumia muunganisho wa intaneti pekee.
Mfumo huu wa wavuti unatumia MacOS, Linux, na Windows, na ni salama kwa uhamishaji wa data uliosimbwa kwa njia fiche. Fanya biashara kwa urahisi kwenye Google Chrome, Safari, Edge, Opera au Firefox kwenye kifaa chochote, popote ulipo.

Vipengele
Kuunda Thamani kwa Ahadi
Valetax inaendesha biashara katika maeneo 15 na ina zaidi ya wateja elfu 300. Udhibiti katika mamlaka mawili na ushirikiano na watoa huduma za kulipa walio na leseni kunaboresha utendaji wa mteja.
Kubwa
Tuna wateja zaidi ya 300,000 ulimwenguni
Inaaminika
Kwa kutii kanuni na viwango mahususi vya sekta
Imethibitishwa
Kwa mbinu salama na zinazoaminika za kulipa
Uko tayari kuanza?
Weka mipangilio ya akaunti yako kwa hatua 3 rahisi
Jisajili
Fungua aina ya akaunti unayopenelea ya kufanya biashara
Weka Pesa
Weka pesa kwenye akaunti yako ukitumia chaguo zinazopatikana zenye leseni
Fanya Biashara na Uchume Pesa
Fanya biashara kwa umahiri na upate faida kubwa leo!



